Artemis Zatti, S.D.B. (Kiitalia: Artemide Zatti; Boretto, Italia, 12 Oktoba 1880Viedma, Argentina, 15 Machi 1951) alikuwa mtawa wa shirika la Wasalesiani wa Yohane Bosco ambaye kama mfamasia alishughulikia vizuri sana wagonjwa wa nchi aliyoihamia utotoni.

Mt. Artemis alivyochorwa.

Alitangazwa mwenye heri na Papa Yohane Paulo II tarehe 14 Aprili 2002[1], halafu mtakatifu na Papa Fransisko tarehe 9 Oktoba 2022[2][3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe aliyofariki dunia[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.