Askari wafiadini wa Sinope
Askari wafiadini wa Sinope (walifariki Sinope, Ponto, leo nchini Uturuki, 235/238) ni kundi la askari 200 ambao waliongokea Ukristo na kha hiyo waliuawa wakati wa dhuluma ya kaisari Maximinus[1].
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |