Atoni wa Pistoia, O.S.B. (pia: Atto; alizaliwa Beja, Ureno, 1070 hivi; alifariki Pistoia, Italia wa leo, 22 Mei 1153) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 1135[1][2].

Mt. Atoni.

Kabla ya hapo alikuwa mmonaki wa urekebisho wa Vallombrosa na alifanywa abati mwaka 1105[3].

Aliandika maisha ya mtakatifu Yohane Gualberto na ya askofu Bernardo wa Uberti[4].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 22 Mei[5].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.