Augustino Roscelli

Kuhani wa Italia

Augustino Roscelli (Bargone, Casarza Ligure, 27 Julai 1818Genova, Liguria, 7 Mei 1902) alikuwa padri wa Kanisa Katoliki kutoka Italia Kaskazini[1].

Mt. Augustino Roscelli alivyochorwa.

Alianzisha shirika la kitawa la Masista wa Imakulata limsaidie kukabili matatizo ya jamii hasa upande wa malezi ya watoto na wanawake[2].

Alitangazwa na Papa Yohane Paulo II kwanza mwenye heri tarehe 7 Mei 1995, halafu mtakatifu tarehe 10 Juni 2001[3].

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri
  1. https://www.santiebeati.it/dettaglio/52075
  2. "--- Immacolatine ---". immacolatine.it. Iliwekwa mnamo 13 Agosti 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Canonization of 5 blesseds
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.