BASIC ni lugha ya programu. Iliundwa na John George Kemeny na ilianzishwa tarehe 1 Mei 1964. Iliundwa ili kuumba programu. Leo tunatumia Mono BASIC. Ilivutwa na FORTRAN.

BASIC
Basic interpreter on the DVK computer
Shina la studio namna : namna ya utaratibu inaozingatiwa kuhusu kipengee
Imeanzishwa Mei 1 1964 (1964-05-01) (umri 59)
Mwanzilishi John George Kemeny
Ilivyo sasa Ilivutwa na: ALGOL 60, FORTRAN II na JOSS

Ilivuta: COMAL, Visual Basic, VisualBasic.NET, GRASS, AutoIt, AutoHotkey na batari Basic

Mahala Microsoft BASIC
Tovuti https://smallbasic-publicwebsite.azurewebsites.net/

Inaitwa BASIC kwa sababu ni kifupi cha "Beginners' All-purpose Symbolic Instruction Code".

Historia hariri

Ilianzishwa 1 Mei 1964 nchini Marekani. Lakini John George Kemeny alianza kufanya kazi kuhusu BASIC mwaka wa 1960.

Falsafa hariri

Namna ya BASIC ni namna ya utaratibu na inaozingatiwa kuhusu kipengee.

Sintaksia hariri

Sintaksia ya BASIC ni rahisi sana, kinyume cha lugha za programu nyingine kama C++, COBOL au C sharp. Ilivutwa na sintaksia ya FORTRAN, lugha ya programu nyingine.

Mifano ya BASIC hariri

Programu kwa kuchapa « Jambo ulimwengu !».

10 PRINT "Jambo ulimwengu !"
20 END

Programu kwa kupata factoria ya namba moja.

INPUT "INGIA NAMBA MOJA:", N
F = 1
FOR I = 1 TO N
    F = F * I
NEXT I
PRINT "FACTORIA NI", F
END

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

  • Sammet, Jean E. (1969). Programming languages: history and fundamentals. Englewood Cliffs, N.J.: Prentice-Hall. OCLC 819683527.
  • Lien, David A. (1986). The Basic Handbook: Encyclopedia of the BASIC Computer Language (3rd ed.). Compusoft Publishing. ISBN 9780932760333. OCLC 12548310.
  • Kemeny, John G.; Kurtz, Thomas E. (1985). Back To BASIC: The History, Corruption, and Future of the Language. Addison-Wesley. p. 141. ISBN 9780201134339. OCLC 11399298.