1 Mei
tarehe
(Elekezwa kutoka Mei 1)
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 1 Mei ni siku ya 121 ya mwaka (ya 122 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 244.
Matukio
haririWaliozaliwa
hariri- 1848 - James Ford Rhodes, mwanahistoria kutoka Marekani
- 1852 - Santiago Ramón y Cajal, tabibu kutoka Hispania, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1906
- 1895 - Leo Sowerby, mtungaji muziki Mmarekani, mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1946
- 1922 - Tad Mosel, mwandishi kutoka Marekani
- 1978 - James Badge Dale, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 1987 - Saidi Ntibazonkiza, mchezaji mpira kutoka Burundi
- 1988 - Richa Adhia, mwanamitindo kutoka Tanzania
Waliofariki
hariri- 1555 - Papa Marcello II
- 1572 - Mtakatifu Papa Pius V, O.P.
- 1904 - Antonín Dvořák, mtunzi wa muziki kutoka Ucheki
- 1930 - Mtakatifu Rikardo Pampuri, O.H., daktari na bradha
Sikukuu
hariri- Tarehe 1 Mei (pia huitwa Mei Mosi) ni sikukuu ya wafanyakazi (kwa Kiingereza Labour Day).
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Yosefu mfanyakazi, nabii Yeremia, Andeoli, Tokwato na wenzake, Amatori wa Auxerre, Oriensi, Brigo, Sigismundi wa Bourgogne, Markulfo, Asafo, Arey, Theodadi, Pelegrino Laziosi, Augustino Schoeffler, Yohane Alois Bonnard, Rikardo Pampuri n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 1 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |