Bazili wa Pario
Bazili wa Pario (karne ya 7 - 735 hivi) alikuwa askofu wa Pario (leo Kemer, nchini Uturuki)[1][2][3] aliyedhulumiwa na serikali ya Dola la Roma Mashariki hata kufungwa na kupelekwa uhamishoni[4] kwa sababu ya kutetea heshima kwa picha takatifu[5]. Ndipo alipofariki[6].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ https://catholicsaints.info/saint-basil-of-parion/
- ↑ http://www.katolsk.no/biografier/historisk/baparion
- ↑ https://oca.org/saints/lives/2019/04/12/101061-st-basil-the-confessor-the-bishop-of-parium
- ↑ http://es.catholic.net/op/articulos/56997/basilio-de-pario-santo.html
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/49260
- ↑ http://vidas-santas.blogspot.com/2013/04/san-basilio-de-pario-obispo-y-confesor.html
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- Basil el Confesor (Basil the Confessor
- http://www.zeno.org/
- Basil el Confesor, obispo de Pario(st basil the confessor, the bishop of parium)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |