Beda Kijana (alifariki Gavello, Veneto, Italia, 10 Aprili 883 BK) anakumbukwa kama mmonaki bora kutoka Schleswig (Ujerumani kaskazini)[1].

Kabla ya hapo aliishi miaka 45 katika ikulu akimtumikia kiaminifu mfalme, lakini baadaye aliona afadhali kumtumikia Mungu tu [2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[3]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/93264
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/49170
  3. Martyrologium Romanum
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.