Benyamini wa Argol

Benyamini wa Argol (alifariki Argol, nchini Uajemi, 424 hivi) alikuwa shemasi aliyeteswa na kuuawa kwa sababu aliendelea kuhubiri imani yake katika dhuluma ya mfalme Vararane V[1][2]. Walimuingizia ncha kali katika makucha yake.

Picha takatifu ya Mt. Benyamini.

Tangu kale anaheshimiwa na Waorthodoksi, Waorthodoksi wa Mashariki na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Machi[3] au 13 Oktoba.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Marejeo hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.