Beregisi
Beregisi (kwa Kifaransa: Bérégise au Bergis; Emptinne[1], leo nchini Ubelgiji, 670 hivi - Saint-Hubert, Ubelgiji, 725 hivi) alikuwa padri ambaye alianzisha monasteri ya kikanoni huko Andage [2][3] ambalo aliliongoza kwa makini hadi kifo chake.
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ Naissance de saint Bérégise, Emptinne, commune de Hamois.
- ↑ Vita Beregisi Andaginensis katika Acta Sanctorum, Oktoba, Vol. 1).
- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/72630
- ↑ Martyrologium Romanum
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |