Betselote na Honori
Betselote na Honori ni kati ya wamonaki Wakristo wa Ethiopia wanaokumbukwa hadi leo.
Habari zao ziliandikwa na kutunzwa katika mfululizo "Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium, 28 = Corpus Scriptorum Christianorum Orientalium, Scriptores Aethiopici, 11 (Vitae sanctorum indigenarum, fasc. 1. Acta S. Basalota Mika'el et S. Anorewos (Aeth. II, 20), T.; ISBN: 978-90-429-0063-9)
Tangu kale wanaheshimiwa na Kanisa la Kiorthodoksi la Ethiopia kama watakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |