Brinolfo
Brinolfo (Vastergotland, 1245 hivi – Skara, Uswidi, 6 Februari 1317) alikuwa mwanateolojia na askofu wa Skara kuanzia mwaka 1278 hadi kifo chake.
Alifanya kazi kwa bidii kulinda Kanisa na kushirikisha ujuzi wake alioupata Paris aliposoma miaka 20.
Alitangazwa na Papa Aleksanda VI kuwa mtakatifu tarehe 16 Agosti 1492.
Sikukuu yake ni tarehe 6 Februari[1].
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |