Bulongwa ni makao makuu ya Wilaya ya Makete katika Mkoa wa Iringa, Tanzania. Wakati wa wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 3,824 [1] walioishi humo. Msimbo wa posta ni 59514

Kata ya Bulongwa
Nchi Tanzania
Mkoa Iringa
Wilaya Ludewa
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 3,824

Bulongwa iko kwenye sehemu ya magharibi ya milima ya Livingstone kwenye kimo cha mita 2100 juu ya UB. Hakuna joto kali na wakati wa Juni - Agosti jalidi hutokea. Mvua unatoeka kati ya Novemba hadi Mei.

Mji ni kitovu cha dayosisi ya kusini ya Kanisa la Kiluteri Tanzania Kati, kuna hospitali ya kanisa na ofisi ya dayosisi.

Marejeo hariri

  1. Sensa ya 2012, Njombe - Makete DC. Jalada kutoka ya awali juu ya 2004-01-02. Iliwekwa mnamo 2017-03-29.
  Kata za Wilaya ya Makete - Tanzania  

Bulongwa | Ikuwo | Iniho | Ipelele | Ipepo | Isapulano | Itundu | Iwawa | Kigala | Kigulu | Kipagilo | Kitulo | Lupalilo | Lupila | Luwumbu | Mang'oto | Matamba | Mbalatse | Mfumbi | Mlondwe | Tandala | Ukwama


  Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Njombe bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Bulongwa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.
Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno.