Candace Marie Margaret Chapman (alizaliwa 2 Aprili, 1983) ni mzaliwa wa Trinidad na Tobago, mchezaji wa soka mstaafu wa nchini Kanada. Alipokua Ajax, Ontario, alicheza kama beki na alikuwa mchezaji wa timu ya taifa ya Kanada. Kwa sasa ni kocha wa timu ya taifa ya vijana. [1]

Candace Chapman
binadamu
Jinsiamwanamke Hariri
Nchi ya uraiaKanada Hariri
Jina halisiCandace Hariri
Jina la familiaChapman Hariri
NicknameChappie Hariri
Tarehe ya Kuzaliwa2 Aprili 1983 Hariri
Mahali alipozaliwaPort of Spain Hariri
Kaziassociation football player Hariri
Nafasi anayocheza kwenye timuBeki Hariri
AlisomaUniversity of Notre Dame, Archbishop Denis O'Connor Catholic High School Hariri
MchezoMpira wa miguu Hariri
Ameshiriki2008 Summer Olympics, 2012 Summer Olympics, 2007 FIFA Women's World Cup Hariri
LigiUSL W-League Hariri

Maisha ya awali hariri

Chapman alizaliwa katika Port of Spain, Trinidad na Tobago. Ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Notre Dame akiwa na diploma katika sosholojia na matumizi ya kompyuta.

Marejeo hariri

  1. "Photo Gallery: Black Canadians and Sports". Citizenship and Immigration Canada. 28 January 2015. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 11 March 2015. Iliwekwa mnamo 26 April 2015.  Check date values in: |date=, |archivedate=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Candace Chapman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.