Darryl Hill (amezaliwa 18 Septemba, 1969) ni msanii wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Cappadonna.

Cappadonna

Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Darryl Hill
Pia anajulikana kama Cappachino, Don Don, Cappa
Asili yake Staten Island, New York City, New York
Aina ya muziki Hip hop
Miaka ya kazi 1995–mpaka sasa
Studio Razor Sharp/Epic/SME Records
Ame/Wameshirikiana na Wu-Tang Clan

Amepata kuwa mwanachama wa kundi la Wu-Tang Clan baada ya kufa kwa Ol' Dirty Bastard, na akaonekana kwenye albamu zao kabla ya uanachama wake, vilevile kuwa na mafanikio makubwa akiwa kama msanii wa kujitegemea. Mnamo mwaka wa 2007 kabla ya kutolewa kwa 8 Diagrams, akapata kuwa mwanachama rasmi wa kundi zima la Wu-Tang Clan na RZA mwenyewe.[1]

Diskografia hariri

Albamu zake hariri

Jina la Albamu Tarehe ya Kutolewa Ngazi
The Pillage 24 Machi 1998 Gold U.S.
The Yin & The Yang 3 Aprili 2001
Cappadonna's Iron Fist Pillage - The Soundtrack 1 Agosti 2001
Cappadonna Hits 20 Novemba 2002
The Struggle 7 Oktoba 2003
The Cappatilize Project 22 Julai 2008
Slang Prostitution 27 Januari 2009
The Pillage II Machi, 2010

Single na Ma-EP hariri

  • 1996 Don't Be a Menace soundtrack - track "Winter Warz"
  • 1998 "Slang Editorial"
  • 1998 "Run"
  • 1999 "Black Boy"
  • 2001 "Super Model"
  • 2007 "Don't Turn Around"
  • 2009 "Somebody's Got To Go"

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-10. Iliwekwa mnamo 2021-01-16. 

Viungo vya Nje hariri

 
WikiMedia Commons
Wikimedia Commons ina media kuhusu:


  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cappadonna kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.