Chala (Nkasi)
Chala ni kata ya Wilaya ya Nkasi katika Mkoa wa Rukwa, Tanzania.
Kata ya Chala | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Rukwa |
Wilaya | Nkasi |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 20,258 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa kuwa 20,258 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 13,499 waishio humo. [2]
Chimbuko la jina Chala ni neno la lugha ya Kifipa, ambapo Chala lina maana ya mzoga, yaani kiumbe kilichokufa (ichala). Kutokana na wageni waliokuwa wakitembelea eneo hili kushindwa kutamuka "ichala", basi wao walitamka "Chala". Kutokana na hilo na kutamkwa muda mrefu ilifikia hatua ya wenyeji pia kutamka "Chala". Hivyo Chala ilitokana na watu wengi kipindi cha miaka ya nyuma kufa sana.
Marejeo
hariri- ↑ https://www.nbs.go.tz, uk 152
- ↑ "Sensa ya 2012 Rukwa - Nkasi District Council" (PDF).
Kata za Wilaya ya Nkasi - Mkoa wa Rukwa - Tanzania | ||
---|---|---|
Chala | Isale | Isunta | Itete | Kabwe | Kala | Kate | Kipande | Kipili | Kipundu | Kirando | Kizumbi | Korongwe | Majengo | Mashete | Mkinga | Mkwamba | Mtenga | Myula | Namanyere | Ninde | Nkandasi | Nkomolo | Ntatumbila | Ntuchi | Paramawe | Sintali | Wampembe |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Rukwa bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chala (Nkasi) kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |