Rashidi Abdallah Mohamed Makwiro[1] (anafahamika kwa jina la kisanii kama Chid Benz; amezaliwa 1985) ni rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Tanzania.

Chid Benz
Jina la kuzaliwa Rashidi Abdallah Makwiro
Pia anajulikana kama Chuma Cha Ilala
Amezaliwa 1985
Aina ya muziki Hip Hop, Gangsta Rap, Bongo Flava, RnB
Kazi yake rapa
Ala Sauti
Ame/Wameshirikiana na LA Familia, Chiku k, Nikki Mbishi, One The Incredible

Ndiye mwanzilishi na ndiye kiongozi wa kundi la wasanii wa Ilala almaarufu kama LAFamilia.[2] Benz anasifika sana kwa kupata ushirika mwingi kwa sasa kuliko msanii yeyote yule kwa Tanzania. Amewahi kushirikiana na Stara Thomas, Ray C., Lady Jay Dee, Tunda Man, Spark, Mwasiti, Mangwair, Maunda Zorro, na wengine wengi tu.

LA Familia ni kundi la msanii Chidi Benz kutoka ilala.

Ilala a.k.a. iLA ni wilaya inayoongoza kwa wasanii na wapenda michezo ya burudani.

Marejeo hariri

Viungo vya Nje hariri

  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chid Benz kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.