Rasi ya Chukchi

(Elekezwa kutoka Chukchi Peninsula)

Rasi ya Chukchi (pia Rasi ya Chukotka; kwa Kirusi: Чуко́тский полуо́стров, Chukotskiy poluostrov au Чуко́тка Chukotka) ni rasi ya mashariki zaidi ya Asia. Upande wa mashariki inaishia kwenye Rasi Dezhnev karibu na kijiji cha Uelen.

Mahali pa Rasi ya Chukchikatika Siberia ya Mashariki ya Mbali.
Ramani inayoonyesha jinsi Rasi ya Chukchi iko karibu Alaska
Rasi ya Chukchi. Ramani ya jeshi la Marekani 1947

Imepakana na Bahari ya Chukchi upande wa kaskazini, Bahari ya Bering upande wa kusini, na Mlango wa Bering upande wa mashariki. Rasi hii ni sehemu ya Okrug huru ya Chukotka ya Urusi [1]. Wakazi wake ni makabila ya watu asilia wa Siberia na walowezi wachache Warusi.

Tasnia kwenye rasi hiyo ni pamoja na madini (bati, risasi, zinki, dhahabu, na makaa ya mawe) uwindaji, ufugaji wa kulungu aktiki, na uvuvi.

Marejeo

hariri
  1. "Chukchi Peninsula". Encyclopedia.com. Accessed September 2010.

Kusoma zaidi

hariri
  • Aĭnana, L., na Richard L. Bland. Umiak mashua ya jadi ya ngozi ya wakaazi wa pwani ya Chukchi  : imejumuishwa katika jamii za Provideniya na Sireniki, Mkoa wa Chukotka Autonomous, Russia 1997-2000 . Hifadhi: US Dept. ya Mambo ya Ndani, Huduma ya Hifadhi ya Kitaifa, 2003.
  • Dinesman, Lev Georgeievich. Mienendo ya ulimwengu ya mazingira ya ukanda wa pwani ya kaskazini mashariki mwa Chukchi peninsula Chukotka  : tabaka za kitamaduni na amana asili kutoka kwa milenia iliyopita . Tübingen [Ujerumani]: Mo Vince, 1999.
  • Dikov, Nikolaĭ Nikolaevich. Asia kwenye Mkutano na Amerika katika Wiki ya Jiwe Umri wa Jiwe la Chukchi . St Petersburg: "Nauka", 1993.
  • Frazier, Ian, Safari katika Siberia, Farrar, Straus, na Giroux, 2010. Travelogue huko Siberia.
  • Portenko, LA, na Douglas Siegel-Consey. Ndege za Peninsula ya Chukchi na Kisiwa cha Wrangel = Ptitsy Chukotskogo Poluostrova I Ostrova Vrangelya . New Delhi: Iliyochapishwa kwa Taasisi ya Smithsonia na Taasisi ya Kitaifa ya Sayansi, Washington, DC, na Amerind, 1981.

66°00′N 172°00′W / 66.000°N 172.000°W / 66.000; -172.000

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Rasi ya Chukchi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.