Chuo Kikuu cha Ohio
Chuo Kikuu cha Ohio (kwa Kiingereza: Ohio University, kifupi: Ohio au OU) ni chuo cha kiutafiti cha umma katika nchi ya Marekani, jimbo la Ohio, mji wa Athens[1]. Ohio ilikuwa chuo kikuu cha kwanza katika jimbo la Ohio na chuo kikuu cha kwanza kilichopewa hati rasmi kupitia Sheria ya Bunge la Marekani, mwaka wa 1787. Chuo kikuu cha Ohio kiliidhinishwa na wilaya katika mwaka wa 1802 na jimbo katika mwaka wa 1804, na kikakaribisha wanafunzi mwaka wa 1809.[2]
Ohio ina kampasi sita: Kampasi kuu (Athens), Kampasi ya Chillicothe, Kampasi ya Zanesville, Kampasi ya Lancaster, Kampasi ya Southern, na Kampasi ya Eastern.[3]
Kaulimbiu ya Chuo Kikuu cha Ohio ni Religio Doctrina Civilitas, Prae Omnibus Virtus (Kilatini), tafsiri ni Dini Ujuzi na Ustaarabu, Zaidi ya Yote Uadilifu (Kiswahili).
Jengo la kwanza katika Chuo Kikuu cha Ohio lilikuwa Cutler ambalo lilijengwa mwaka wa 1819. Wanafunzi watatu wa kwanza waliandikisha mwaka wa 1809 na wawili walipata digrii ya shahada ya kwanza mwaka wa 1815.
Chuo Kikuu cha Ohio kina marais kwa mshauri.
- Rais wa kwanza alikuwa Jacob Lindley, somo ya Lindley Hall, kutoka mwaka wa 1809 hadi mwaka wa 1822.
- Rais wa wapili alikuwa James Irvine, somo ya Irvine Hall, kutoka mwaka wa 1822 hadi mwaka wa 1824.
- Rais wa watatu alikuwa Robert G. Wilson, somo ya WIlson Hall, kutoka mwaka wa 1824 hadi mwaka wa 1839.
- Rais wa nne alikuwa William Holmes McGuffey, somo ya McGuffey Hall, kutoka mwaka wa 1839 hadi mwaka wa 1843.
- Rais wa tano alikuwa Alfred Ryors, Msomi wa Jengo la Ryors, kutoka mwaka wa 1848 hadi mwaka wa 1852.
- Rais wa sita alikuwa Solomon Howard kutoka mwaka wa 1852 hadi mwaka wa 1872.
- Rais wa saba alikuwa William Henry Scott kutoka mwaka wa 1872 hadi mwaka wa 1883.
- Rais wa nane alikuwa Charles William Super kutoka mwaka wa 1884 hadi mwaka wa 1896 na kutoka mw aka wa 1899 hadi mwaka wa 1901.
- Rais wa tisa alikuwa Isaac Crook kutoka mwaka wa 1896 hadi mwaka wa 1898.
- Rais wa kumi alikuwa Alston Ellis, somo ya Ellis Hall, kutoka mwaka wa 1901 hadi mwaka wa 1920.
- Rais wa kumi na moja alikuwa Elmer Burritt Bryan, somo ya Bryan Hall, kutoka mwaka wa 1921 hadi mwaka wa 1934.
- Rais wa kumi na mbili alikuwa Herman Gerlach James, somo ya James Hall, kutoka mwaka wa 1935 hadi mwaka wa 1943.
- Rais wa kumi na tatu alikuwa Walter S. Gamertsfelder, somo ya Gamersfelder Hall, kutoka mwaka wa 1943 hadi mwaka wa 1945.
- Rais wa kumi na nne alikuwa John Calhoun Baker, somo ya Baker Center. kutoka mwaka wa 1945 hadi mwaka wa 1961.
- Rais wa kumi na tano alikuwa Vernon Alden, somo ya Alden Library, kutoka mwaka wa 1962 hadi mwaka wa 1969.
- Rais wa kumi na sita alikuwa Claude R. Sowle, somo ya Sowle Hall, kutoka mwaka wa 1969 hadi mwaka wa 1974.
- Rais wa kumi na saba alikuwa Harry B. Crewson kutoka mwaka wa 1974 hadi mwaka wa 1975.
- Rais wa kumi na nane alikuwa Charles J. Ping, somo ya Ping Recreation Center. kutoka mwaka wa 1975 hadi mwaka wa 1994.
- Rais wa kumi na tisa alikuwa Robert Glidden, somo ya Glidden Hall, kutoka mwaka wa 1994 hadi mwaka wa 2004.
- Rais wa ishirini alikuwa Roderick J. McDavis kutoka mwaka wa 2004 hadi mwaka wa 2017.
- Rais wa ishirini na moja alikuwa M. Duane Nellis kutoka mwaka wa 2017 hadi mwaka wa 2021.
- Rais wa ishirini na mbili alikuwa Hugh Sherman kutoka mwaka wa 2021 hadi mwaka wa 2023.
- Rais wa sasa ni Lori Stewart Gonzalez tangu mwaka wa 2023.
Shule Zilizo Katika Chou Kikuu
haririChuo Kikuu cha Ohio kina shule 12 tofauti. Chuo cha Sanaa na Sayansi ndicho kikubwa zaidi katika Chuo Kikuu cha Ohio na kilianzishwa mwaka wa 1902[5]. Katika Chuo cha Sanaa na Sayansi, Idara ya Isimu kufundisha Kiswahili. Chuo cha Russ Uhandisi na Teknolojia, Russ, mwanachuo ya mhandisi umeme. Chuo cha Russ Uhandisi na Teknolojia kilianzishwa mwaka wa 1920[6]. Chuo cha Scripps Mawasiliano kilianzishwa mwaka wa 1924[7]. Chuo cha Biashara kilianzishwa mwaka wa 1927[8], kilifuata karibu na Chuo Hitimu mwaka wa 1936[9]. Chuo cha Sanaa Kizuri kilianzishwa mwaka wa 1947 na kina maarafu bendi ya kuandamana, Chuo Kikuu cha Ohio Kuandamana 110, ongozwa na Richard Suk. Chuo Kikuu cha Ohio Kuandamana 110 kilianzishwa mwaka wa 1967 ongozwa na Gene Thrailkill. Chuo Kikuu cha Ohio Shule ya Muziki kilisherehekea siku ya ukumbusho ya mwaka wa 100 mwaka wa 2017.[10] Chuo cha Patton Elimu tarehe za nyuma mwaka wa 1886 lakini hakufanya hivyo kwa utaratibu kilianzishwa mwaka wa 1959[11]. Chuo cha Heshima Mafunzo, kilianzishwa mwaka wa 1972, tolea mipango katika nidhamu 34 tofauti[12]. Urithi Chuo cha Mganga wa Mifupa Tiba kilianzishwa mwaka wa 1975[13], kilifuata karibu na Chuo cha Afya Sayansi na Weledi mwaka wa 1979[14]. Chuo Kikuu Chuo tolea iliyobinafsishwa digrii na kilianzishwa mwaka wa 2004[15]. Chuo cha Voinovich Uongozi na Utumishi wa Umma ni kipya shule, kilianzishwa mwaka wa 2007[16].
Rangi ya Chuo Kikuu cha Ohio ni kijani na nyeupe. Nyota ya jaha ya Ohio ni Rufus the Bobcat, jina la utani la Chuo Kikuu cha Ohio ni Bobcats. Gazeti ya Ohio linaitwa The Post na hutolewa kila Alhamisi. Timu ya soka ya Marekani hucheza katika Jengo la Michezo la Peden katika NCAA Division 1 - MAC. Bandi ya mapambo ya Ohio 110 hucheza katika kila mchezo nusu.
Marejeo
hariri- ↑ "Carnegie Classification of Institutions of Higher Education®". CARNEGIE CLASSIFICATION OF INSTITUTIONS OF HIGHER EDUCATION (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ 2.0 2.1 2.2 "History & Traditions | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "OHIO Locations | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Presidents Emeriti | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "College of Arts & Sciences | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Russ College of Engineering and Technology | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Scripps College of Communication | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Ohio University College of Business | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Graduate College | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "College of Fine Arts | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Patton College of Education | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Honors Tutorial College | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Heritage College of Osteopathic Medicine | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "College of Health Sciences and Professions | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "University College | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.
- ↑ "Voinovich School of Leadership and Public Service | Ohio University". www.ohio.edu. Iliwekwa mnamo 2024-04-01.