Curtis Manning
Curtis Manning ni jina la uhusika wa kipindi cha televisheni cha Kimarekani maarufu kama 24. Uhusika ulichezwa na Roger Cross.
Curtis Manning | |
---|---|
muhusika wa 24 | |
Roger Cross kama Curtis Manning | |
Imechezwa na | Roger Cross |
Idadi ya sehemu | 44 |
Hali | Amefariki |
Misimu | 4, 5, 6 |
Maelezo |
Katika uhusika
haririKabla ya kujiunga na CTU, alikuwa mwanachama Kitengo cha Polisi cha Boston katika kikosi cha SWAT na awali alifanya kazi katika Kikosi cha Jeshi Maalum la Marekani wakati wa Operation Desert Storm. Manning ana digrii ya B.A. katika mambo ya Sosholojia alioipata katika Chu Kikuu cha Massachusetts.
Viungo vya Nje
hariri- Character biography Ilihifadhiwa 29 Januari 2009 kwenye Wayback Machine. on the official 24 website