Damiano mfiadini

(Elekezwa kutoka Damian Mtakatifu)

Damiano mfiadini (aliuawa kati ya 287 na 303) alikuwa daktari katika maeneo ya Uturuki kusini wa leo. Pia alikuwa pacha mdogo wa Kosma mfiadini. Pamoja naye walikuwa wanatibu watu bure.

Watakatifu Kosma na Damiano.

Inasemekana walitokea Uarabuni[1].

Hali ya maisha na kifodini chake haijulikani kwa uhakika.

Sikukuu yake ni tarehe 26 Septemba[2].

Takriban mwaka 530, Papa Felix IV aliwatolea Watakatifu Kosma na Damiano basilika maarufu katika mji wa Roma.

Tazama pia

hariri

Tanbihi

hariri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.