Diglosia (kutoka neno la Kiingereza lenye asili ya Kigiriki linalomaanisha "lugha mbili") ni hali inayotokea mahali ambapo kuna aina mbili za lugha moja, kila lahaja ikitumika kwa mahitaji maalumu. Kwa mfano lugha ya Kiarabu: kuna aina mbili za lugha hiyo moja:

  1. Lugha ya Juu inayoitwa Al-fasaha na
  2. Lugha ya Chini inayoitwa Al-Hamiya.
Globe of letters.svg Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Diglosia kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.