Domnina wa Ainvarza
Domnina wa Ainvarza (alifariki Ainvarza, Kilikia, leo nchini Uturuki, 304 hivi) alikuwa mwanamke ambaye aliteswa sana kwa ajili ya imani yake ya Kikristo chini ya gavana Lisia, wakati wa dhuluma ya Dioklesyano, kaisari wa Dola la Roma, halafu akafariki gerezani[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kati ya watakatifu wafiadini.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMakala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |