Donolo wa Le Mans
Donolo wa Le Mans (kwa Kilatini: Domnolus; kwa Kifaransa: Domnole; alifariki Le Mans, leo nchini Ufaransa, 1 Desemba 581) alikuwa askofu wa mji huo kuanzia mwaka 558 au 559 hadi kifo chake.
Maarufu kwa miujiza, aliwahi kuwa abati wa monasteri ya Mt. Laurenti huko Paris [1].
Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- Le cartulaire de l'abbaye de Saint-Vincent du Mans, BnF Gallica
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |