Douala
Douala ni mji mkubwa wa Kamerun ukiwa na wakazi 1,338,082 (2021[1][2]).

Douala katika ramani ya Kamerun.
Uko kilometa 24 kutoka bahari kwenye mdomo mpana wa mto Wouri unaokomea kwenye Ghuba ya Guinea ya Atlantiki. Bandari yake inaifanya kuwa kitovu cha uchumi wa Kamerun.
Wakati wa ukoloni wa Kijerumani ulikuwa mji mkuu wa Kamerun hadi mwaka 1907.
Mto WouriEdit
Douala ina mto Wouri.
- Mto Wouri
UsafiriEdit
Unafanyika kwa:
- Kituo cha Bessengue
DiniEdit
Ni hasa:
- Maabadi
Msikiti wa New-Bell
Bandari huruEdit
Douala ina bandari.
- Bandari huru
SanaaEdit
Kazi za sanaa zinapatikana jijini.
- Sanamu ya Uhuru
Tazama piaEdit
TanbihiEdit
Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Douala kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |