Dr. Dre Presents the Aftermath

Dr. Dre Presents: The Aftermath ni albamu ya kompilesheni ambayo imetolewa na kutayarishwa na rapa na mtayarishaji wa Kimarekani, Dr. Dre. Albamu ilitolewa mnamo tar. 26 Novemba, 1996, wiki moja baada ya kutolewa kibao chake kikuu cha "East Coast, West Coast, Killas" akiwa na Group Therapy. Albamu hii ilikuwa ya kwanza ya Dre baada ya kuondoka Death Row Records, na lilikuwa toleo lake la kwanza tangu kuanzishwa kwa studio yake mpya iliyokwenda kwa jina la Aftermath Entertainment.

Dr. Dre Presents: The Aftermath
Dr. Dre Presents: The Aftermath Cover
Compilation album ya Dr. Dre
Imetolewa Novemba 26, 1996
Imerekodiwa 1995-1996
Aina West Coast hip hop, hip hop, G-funk, R&B
Urefu 71:12
Lebo Aftermath, Interscope
Mtayarishaji Dr. Dre (exec.)
Wendo wa albamu za Dr. Dre
The Chronic
(1992)
Dr. Dre Presents the Aftermath
(1996)
2001
(1999)
Single za kutoka katika albamu ya Dr. Dre Presents: The Aftermath
  1. "East Coast, West Coast, Killas"
    Imetolewa: Novemba 14, 1996
  2. "Been There, Done That"
    Imetolewa: Machi 26, 1997


Makadirio ya kitaalamu
Tahakiki za ushindi
Chanzo Makadirio
Allmusic 2.5/5 stars [Dr. Dre Presents the Aftermath katika Allmusic link]
Entertainment Weekly B+ link
Rap Pages magazine (mixed) link
The Rolling Stone Album Guide 2/5 stars link

Licha ya jina la Dr. Dre kuwa katika albamu, na kutunukiwa platinum,[1] imepokea tahakiki mchanganyiko na haikuwa miongoni mwa matoleo ya mwaka yenye mafanikio makubwa kibiashara. Baadaye albamu ilifuatiwa na kibao chake cha pili kilichoimbwa na Dr. Dre peke yake "Been There, Done That".

Orodha ya nyimbo

hariri
# JinaMtunzi (wa)Sampuli Urefu
1. "Aftermath (Intro)" (imeimbwa na RC and Sid McCoy)Dr. Dre, Mel-Man   
2. "East Coast/West Coast Killas" (imeimbwa na Group Therapy - B-Real, KRS-One, Nas, RBX - akishirikiana na Dr. Dre & Scarface)Dr. Dre, Stu-B-Doo, Stocks McGuireQuincy Jones - "Ironside"  
3. "Shittin' on the World" (imeimbwa na D-Ruff, Hands-On and Mel-Man)Dr. Dre, Mel-ManThe Fuzz - "I Love You For All Seasons"  
4. "Blunt Time" (imeimbwa na RBX)Dr. Dre, Stu-B-DooQuincy Jones - "Summer In The City"  
5. "Been There, Done That" (imeimbwa na Dr. Dre)Bud'da, Dr. Dre   
6. "Choices" (imeimbwa na Kim Summerson)Ewart A. Wilson, Jr., Floyd Howard, Glen MosleyIsaac Hayes - "Look of Love"  
7. "As the World Keeps Turning" (imeimbwa na Cassandra McCowan, Mike Lynn, Flossy P and Stu-B-Doo)Flossy P, Chris "The Glove" Taylor   
8. "Got Me Open" (imeimbwa na Hands-On akishirikiana na Dr. Dre)Bud'daReal Live akishirikiana na K-Def & Larry O - "Real Live Shit"  
9. "Str-8 Gone" (imeimbwa na King Tee)Bud'da   
10. "Please" (imeimbwa na Maurice Wilcher and Nicole Johnson)Maurice Wilcher   
11. "Do 4 Love" (imeimbwa na Jheryl Lockhart)Bud'daHeath Brothers - "Smiling Billy Suite Pt. 2"  
12. "Sexy Dance" (imeimbwa na Cassandra McCowan, Jheryl Lockhart and RC)Bud'da, Dr. Dre   
13. "No Second Chance" (imeimbwa na Who'z Who)Rodney Duke, Rose Griffin   
14. "L.A.W. (Lyrical Assault Weapon)" (imeimbwa na Sharief)Stu-B-Doo   
15. "Nationowl" (imeimbwa na Nowl)Bud'da   
16. "Fame" (imeimbwa na Jheryl Lockhart, King Tee and RC)Dr. Dre, Chris "The Glove" TaylorDavid Bowie - "Fame"  

Nafasi za chati

hariri
Chati za (1996)[2] Nafasi
iliyoshika
Canadian RPM Albums Chart[3] 69
U.S. Billboard 200 6
U.S. Top R&B/Hip-Hop Albums 3

Vibao vyake

hariri
Mwaka Wimbo Nafasi za chati
Billboard Hot 100 Rhythmic Top 40
1996 "East Coast, West Coast, Killas"
1997 "Been There, Done That" 40

Marejeo

hariri
  1. RIAA Searchable Database Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine.. Recording Industry Association of America. Accessed May 29, 2008.
  2. [Dr. Dre Presents the Aftermath katika Allmusic allmusic ((( Dr. Dre Presents...The Aftermath > Charts & Awards > Billboard Albums )))]. Allmusic. Imeingizwa Mei 29, 2008.
  3. "Top Albums/CDs - Volume 64, No. 17, December 09 1996". RPM. Iliwekwa mnamo 2011-03-10. {{cite web}}: Italic or bold markup not allowed in: |publisher= (help)