Drogo (pia: Dreux, Drugo, Druron; Epinoy, Artois, leo nchini Ufaransa, 14 Machi 1105 - Sebourg, Ufaransa Kaskazini, 16 Aprili 1186 hivi) aliishi miaka mingi bila makao maalumu, kwa kutembelea patakatifu mbalimbali, halafu akawa mkaapweke katika chumba kidogo kilichounganika na kanisa[1][2][3].

Sanamu ya Mt. Drogo.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[4].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  1. Drogo of Sebourg, Hermit (RM), Saint of the Day, Saint Patrick Catholic Church, Washington, D.C.
  2. (1997) Mysteries, Marvels, Miracles in the Lives of Saints. TAN Books. 
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/92331
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya njeEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.