Elifi (pia: Eliphius, Eloff, Élophe, Éliphe, Alophe; alifariki Toul, leo nchini Ufaransa, 362 hivi) alikuwa Mkristo wa mji huo anayesemekana kuuawa kwa kukatwa kichwa kwa ajili ya imani yake katika dhuluma ya kaisari Juliani Mwasi[2].

Sanamu yake huko Koln, Ujerumani[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadimishwa tarehe 16 Oktoba[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Paul Clemen, Die Kirchlichen Kunstdenkmäler der Stadt Köln II, page 354.
  2. http://www.santiebeati.it/dettaglio/74205
  3. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.