Emanueli, Sabino na wenzao

Emanuele, Sabino na wenzao Kodrati na Theodosi (walifariki Anatolia, leo nchini Uturuki, 304 hivi) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao katika dhuluma ya kaisari Dioklesyano[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Waorthodoksi na Wakatoliki kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 26 Machi.[2]

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. http://www.santiebeati.it/dettaglio/47100
  2. Martyrologium Romanum (Libreria Editrice Vaticana, 2001, ISBN 88-209-7210-7)

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.