Emanueli Gonzalez Garcia

Emanueli González García (Sevilia, 25 Februari 1877Palencia, 4 Januari 1940) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki, jimbo la Palencia nchini Hispania tangu mwaka 1935 hadi kifo chake.

Mt. Manuel.

Alijulikana kwa ibada kubwa aliyokuwanayo kwa Yesu Ekaristi ambayo alijitahidi kuieneza kotekote. Kwa ajili hiyo alianzisha shirika la Wamisionari wa Ekaristi wa Nazareti, pamoja na yale ya Wanafunzi wa Mt. Yohane na Watoto wa Malipizi.[1]

Papa Yohane Paulo II alimtangaza mwenye heri tarehe 29 Aprili 2001. Papa Fransisko alimtangaza mtakatifu tarehe 16 Oktoba 2016.[2][3]

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "Bl. Manuel Gonzalez Garcia". Catholic Online. Iliwekwa mnamo 31 December 2015.  Check date values in: |accessdate= (help)
  2. "Blessed Manuel Gonzalez Garcia". Saints SQPN. 4 January 2013. Iliwekwa mnamo 7 April 2015.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  3. "Pope advances Causes of Elizabeth of the Trinity, 11 others". Vatican Radio. 4 March 2016. Iliwekwa mnamo 6 March 2016.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  4. Martyrologium Romanum

Viungo vya nje hariri

 
WikiMedia Commons
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.