Emi Koussi

Emi Koussi ni mlima mrefu zaidi wa Chad (Afrika).

Volkeno ya Emi Koussi katika safu ya Tibesti.

Urefu wa volkeno hiyo unafikia hadi mita 3,445 juu ya usawa wa bahari.

Tazama piaEdit