Emila na Yeremia

Emila na Yeremia (walifariki Cordoba, Hispania, 852) walikuwa ndugu Wakristo waliouawa kwa kukatwa kichwa na Waislamu waliotawala nchi hiyo[1][2].

Emila alikuwa shemasi.

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 15 Septemba[3].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.