Emiliana wa Roma
Emiliana wa Roma (aliishi karne ya 6) alikuwa bikira Mkristo, shangazi wa Papa Gregori I, ambaye alisimulia maisha yake katika hotuba fulani[1], akisema alijitoa kwa Mungu pamoja na dada zake Tarsila na Gordiana katika maisha ya Kiroho.[2]
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.
Tazama pia
haririTanbihi
haririMarejeo
hariri- Giovanni Sicari, Reliquie Insigni e "Corpi Santi" a Roma, Monografie Romane a cura dell'Alma Roma, 1998
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |