Emiliani wa Kuziko

Emiliani wa Kuziko (alifariki uhamishoni Kuziko, leo nchini Uturuki, 815 hivi) alikuwa askofu ambaye alidhulumiwa sana na kaisari Leo V wa Bizanti kwa sababu ya kuheshimu picha takatifu akafariki uhamishoni [1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 8 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.