Emma wa Lesum (au Hemma au Imma wa Stiepel au wa Ludger; 975-9803 Desemba 1038) alikuwa mwanamke wa ukoo Immedinger, uliotawala kaskazini mwa Ujerumani. Aliolewa na kuzaa mtoto mmoja, halafu akafiwa mumewe.

Sanamu ya Emma wa Lesum.

Kutokana na matendo yake mema, tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake au tarehe 17 Aprili.

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Vyanzo hariri

  • Schwarzwälder, Herbert, 2003: Das Große Bremen-Lexikon. Edition Temmen. ISBN 3-86108-693-X

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.