Emre Can
Emre Can (alizaliwa Januari 12, 1994) ni mchezaji wa soka wa Ujerumani ambaye anacheza kama kiungo wa kati katika klabu ya Italia ya Juventus FC na timu ya taifa ya Ujerumani. Can anaweza kucheza pia kama kiungo mkabaji wa katikati na beki.
Emre Can alianza kazi yake katika timu ya Bayern Munich na baadae alihamia Bayer Leverkusen mwaka 2013. Miaka minne baadaye, aliinga makubaliano na Liverpool kwa £ Milioni 9.75.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Emre Can kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |