Ermes wa Roma
Ermes wa Roma (alifariki Roma, 120 hivi) alikuwa hadimu tajiri wa Roma ya Kale kutoka Ugiriki, alivyosimulia Papa Damaso I[1].
Ermes wa Roma | |
---|---|
Mt. Ermes amechorwa nyuma, akiwa na deraya | |
Feast |
Tangu zamani anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu mfiadini. [2]
Tazama pia
haririTanbihi
hariri- ↑ http://www.santiebeati.it/dettaglio/67810
- ↑ His name appears in the Martyrologium Hieronymianum as well as entries in the Depositio Martyrum (354). There was a large basilica over his tomb that was built around 600 by Pope Pelagius I. Cfr. David Farmer, The Oxford Dictionary of Saints (Oxford: Oxford University Press, 1978), 191.
- ↑ Martyrologium Romanum
Viungo vya nje
hariri- Hermes at Patron Saints Index
- San Ermete at Enrosadira (Kiitalia)
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |