Erodioni, Asinkrito na Flego

Erodioni, Asinkrito na Flego walikuwa wanaume Wakristo wa karne ya 1 waliotajwa na Mtume Paulo katika Waraka kwa Warumi 16:11, 14.

Mt. Erodioni na malaika (1840, Russia).
Mt. Asinkrito.

Erodioni alikuwa ndugu wa mtume huyo na inasemekana baadaye alipata kuwa askofu wa Patraso (Ugiriki) au Tarso (Kilikia, leo nchini Uturuki) na hatimaye alifia imani[1].

Tangu kale wanaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama watakatifu.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 8 Aprili[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mtu wa Biblia bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Erodioni, Asinkrito na Flego kama habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.