Eroni, Atne, Isidori na Dioskoro

Eroni, Atne, Isidori na Dioskoro (walifia dini Aleksandria, 250) walikuwa Wakristo wa Misri ambao waliteswa vikali na hatimaye kuuawa kwa imani yao.

Watu wazima walichomwa moto, mtoto Dioskoro alichanwachanwa mwili mzima.

Tangu kale wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 14 Desemba[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.