Esikyo wa Antiokia

Esikyo wa Antiokia (alifariki Antiokia, leo nchini Uturuki, 303 hivi) alikuwa afisa wa jeshi aliyeuawa kwa kutosha mtoni akiwa amefungwa jiwe kubwa mkononi katika dhuluma wa kaisari Dioklesyano dhidi ya Ukristo[1].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Mei[2].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.