Eufrasi wa Clermont

Eufrasi wa Clermont (Galia, Ufaransa wa leo, karne ya 5 - Clermont-Ferrand, 515) alikuwa askofu wa 13[1] wa mji huo, katika mkoa wa Akwitania, kuanzia mwaka 490 hadi kifo chake[2]

Alisifiwa na Gregori wa Tours kwa ukarimu wake. [3].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 14 Januari[4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, p. 35.
  2. Duchesne, Fastes épiscopaux de l'ancienne Gaule, vol. II, p. 35. Dictionnaire d'archéologie chrétienne et de liturgie, III/2, col. 1916.
  3. http://www.santiebeati.it/dettaglio/37580
  4. Martyrologium Romanum

Marejeo hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.