Eufrasia wa Thebe
Eufrasia wa Thebe (380 - 13 Machi 410) alikuwa bikira Mkristo ambaye, baada ya kuacha maisha ya familia yake ya kisharifu huko Konstantinopoli, aliishi peke yake jangwani Misri kwa unyenyekevu, ufukara na utiifu[1].
Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu na Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki.
Sikukuu yake inaadhimishwa hasa tarehe 24 Julai[2] au 25 Julai.
Tazama pia
haririTanbihi
haririViungo vya nje
hariri- EWTN Library: St. Euphrasia, Virgin Ilihifadhiwa 9 Novemba 2016 kwenye Wayback Machine.
- Catholic Encyclopedia: St. Euphrasia
- Lives of the Saints, March 13: Saint Euphrasia
- St. Euphrasia Hagiography
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |