Eustrasi Mtendamiujiza

Eustrasi, aliyeitwa Mtendamiujiza (alizaliwa karne ya 8 akafariki karne ya 9[1]), alikuwa abati wa monasteri ya Abgar juu ya mlima Olimpo huko Bitinia, katika Uturuki ya leo[2].

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 9 Januari[3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.