Fabius (mzaliwa wa Mauretania, alifia dini 303 au 304 huko Mauretania Caesariensis,[1] leo Cherchell, nchini Algeria) alikuwa askari wa Dola la Roma.

Kwa kuwa alikataa kushika bendera ya gavana katika mkutano mkuu wa mkoa, alitupwa kwanza gerezani, halafu alipewa na hakimu adhabu ya kifo kwa sababu alizi kujitambulisha kama Mkristo[2].

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 31 Julai[3][4].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. "São Fábio (séc. IV)". Amaivos.uol.com.br. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-02. Iliwekwa mnamo 2013-12-05. 
  2. https://www.santiebeati.it/dettaglio/90108
  3. Martyrologium Romanum
  4. "Blog Archive » Saint Fabius of Caesarea". Saints.SQPN.com. 2013-02-21. Iliwekwa mnamo 2013-12-05. 

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.