Fahitina (kwa Kieire: Fachtna au Fachanan; alifariki 600 hivi) alikuwa mmonaki wa Ireland aliyeanzisha monasteri na shule huko Rosscarbery ambazo zikaja kupata umaarufu mkubwa kwa ufundishaji wa elimu ya Kikristo na ya kidunia[1].

Tangu kale huyo abati na askofu anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu, hasa tarehe 14 Agosti[2].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.