Felichisimi
Felichisimi wa Karthago (kwa Kilatini: Felicissimus; 256 hivi) alikuwa Mkristo wa Karthago (leo nchini Tunisia) ambaye aliteswa na kufungwa kwa imani yake pamoja na padri Rogasyani wa Karthago[1].
Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu.
Tazama pia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |