Felisi na Genadi (walifia dini Uzali, leo nchini Tunisia) walikuwa Wakristo waliouawa kwa ajili ya imani yao wakati wa dhuluma ya Dola la Roma.

Wanaheshimiwa kama watakatifu wafiadini.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 16 Mei[1][2][3].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Martyrologium Romanum: ex Decreto Sacrosancti oecumenici Concilii Vaticani II instauratum auctoritate Ioannis Pauli P.P. II promulgatum, Romae 2001, ISBN 8820972107
  2. https://catholicsaints.info/saint-felix-of-uzalis/
  3. https://catholicsaints.info/saint-gennadius-of-uzalis/
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.