Felisi wa Dunwich

Felisi wa Dunwich (Burgundy, Ufaransa - Dunwich, Uingereza, 8 Machi 647/648) alikuwa mmonaki aliyepata kuwa askofu mmisionari kwa Waangli wa Mashariki, (leo Norfolk na Suffolk) kwa miaka 17.

Mt. Felisi alivyochorwa.

Anaheshimiwa tangu kale kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe ya kifo chake[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

MarejeoEdit

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.