Felisi wa Susa (alifariki 434 hivi) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki katika mji wa Hadrumetum (leo Susa nchini Tunisia).

Aliuawa kutokana na dhuluma ya Genseriki, mfalme wa Wavandali, ambaye alikuwa mfuasi wa Ario.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 21 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  1. Jones, Terry H (19 February 2017). Saint Felix of Hadrumetum. Saints.SQPN.com.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.