Felisiani wa Karthago

Felisiani wa Karthago (kwa Kilatini: Felicianus; alifia dini katika karne ya 3) alikuwa Mkristo wa Karthago (leo nchini Tunisia) ambaye aliuawa kwa imani yake.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 29 Oktoba[1].

Tazama piaEdit

TanbihiEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Felisiani wa Karthago kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.